Financial Management System
© Financial Management System | Developed by Dax Systems
Wasiliana nasi kupitia:
Weka barua pepe yako ili kupata nenosiri lako kwenye email.
Jisajili kwa mfumo wetu wa FEDHA
Jaza taarifa zako hapa chini
Tayari una akaunti? Ingia hapa
© Financial Management System | Developed by Dax Systems
Wasiliana nasi kupitia:
Vigezo na Masharti haya yanasimamia matumizi ya MFUMO WA TAARIFA ZA FEDHA ZA VIKUNDI ("Mfumo") unaotolewa na Dax Systems. Kwa kujisajili na kutumia Mfumo huu, unakubali kufungwa na masharti yote yaliyoainishwa hapa chini. Iwapo hukubaliani na masharti haya, tafadhali usiendelee kutumia Mfumo.
Taarifa zote za wanachama na miamala zinahifadhiwa kwa lengo la kumsaidia mtumiaji kuendesha shughuli zake za kifedha. Dax Systems inachukua hatua za kiufundi kulinda taarifa hizi, ingawa mtumiaji anashauriwa asishiriki taarifa zake za kuingia mfumoni na mtu yeyote asiyeruhusiwa.
Dax Systems inaweza kubadilisha Vigezo na Masharti haya wakati wowote. Mabadiliko yatawekwa kwenye Mfumo na kuendelea kutumia Mfumo baada ya mabadiliko kutamaanisha umekubali masharti mapya.
Dax Systems haitawajibika kwa hasara yoyote itokanayo na matumizi mabaya ya Mfumo, upotevu wa mtandao, au taarifa zisizo sahihi zilizoingizwa na mtumiaji mwenyewe.
Kwa maswali yoyote kuhusu Vigezo na Masharti haya, wasiliana nasi kupitia daxsystems.tz@gmail.com au namba za simu zilizoainishwa kwenye Mfumo.
Financial Management System
Muhtasari wa shughuli zako za FEDHA
Jumla ya Mapato
Jumla ya Matumizi
Salio halisi
Wanachama Wote
| Tarehe | Mwanachama | Aina | Kiasi | Kategoria | Maelezo | Imetumwa Na | Vitendo |
|---|
| ID ya Muamala | Mwanachama/Maelezo | Aina | Kiasi | Hali |
|---|
Maelezo ya Uanachama
Jumla ya Mapato
Jumla ya Matumizi
Salio halisi
Jumla ya Miamala
| Tarehe | Aina | Kiasi | Kategoria | Maelezo | Hali |
|---|
Bonyeza jina la mwanachama ili kuona miamala yake
Sajili, angalia, na dhibiti wanachama wako
| ID | Jina | Barua Pepe | Simu | Anwani | Hali | Tarehe ya Kujiunga | Vitendo |
|---|
Rekodi na dhibiti Miamala yako ya FEDHA
| ID | Mwanachama/Maelezo | Aina | Kategoria | Kiasi | Hali | Vitendo |
|---|
Unda na angalia ripoti zako za FEDHA
Ripoti hii itaonyesha mapato/matumizi yote.
Mapato
Matumizi
Salio halisi
Dhibiti mipangilio ya akaunti na mfumo wako
Maelekezo ya Kuanzia:
• Kila Mwezi: Kuongezeka kutaanza mwezi wa sasa IKIWA siku uliyochagua bado haijaisha mwezi huu
• Kila Mwaka: Kuongezeka kutaanza mwaka wa sasa IKIWA mwezi na siku uliyochagua bado haijaisha mwaka huu
• Mfano: Ikiwa leo ni 20 na umeweka tarehe 25, kuongezeka kutaanza mwezi/mwaka wa sasa
Hakuna mpangilio wa kuongezeka kiotomatiki
| Jina | Nafasi | ID ya Mwanachama | Tarehe ya Kuongezwa | Hali | Vitendo |
|---|
TAHADHARI: Badiliko hili litabadilisha muundo wa database yako. Hakuna data itapotea, lakini muundo utabadilika kulingana na aina mpya ya akaunti.
Aina ya Akaunti ya Sasa:
Tahadhari: Kufuta akaunti kutaondoa data zote na hauwezi kurudisha nyuma!